Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 29, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::::MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

 
Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi.

Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya.

No comments:

Post a Comment