MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 28/01/2014.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,
Ruvuma na Rukwa]:
|
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo
katika baadhi ya maeneo na vipindi
vifupi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Morogoro (Kusini)
na Mtwara]:
[Mikoa ya Kigoma na
Tabora]:
[Mikoa ya Kagera na
Mwanza]:
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mkoa wa Lindi]:
|
Hali
ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Mara na Shinyanga]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Arusha, Manyara
na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es
salaam na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro
(Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
30°C
|
14°C
|
12:38
|
12:52
|
D'SALAAM
|
33°C
|
26°C
|
12:21
|
12:47
|
DODOMA
|
29°C
|
20°C
|
12:37
|
12:59
|
KIGOMA
|
30°C
|
21°C
|
01:02
|
01:22
|
MBEYA
|
25°C
|
13°C
|
12:41
|
01:13
|
MWANZA
|
28°C
|
18°C
|
12:53
|
01:05
|
TABORA
|
30°C
|
19°C
|
12:50
|
01:10
|
TANGA |
33°C
|
25°C
|
12:25
|
12:45
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
23°C
|
12:21
|
12:47
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa
Pwani
Kaskazini na
kutoka Kaskazini kwa
Pwani Kusini .
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
30/01/2014: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/01/2014.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment