Familia
ya Mzee Steven Mashishanga wakiwa katika maombolezo ya msiba wa mke wa
Mashishanga Suzana aliyefariki jana. Rais Kikwete naye alipata fulsa ya
kumtembela Mgane ashishanga na kutoa rambirambi zake.
Pole
sana Mzee, Mungu akupe nguvu, sio jambo jepesi, ni kazi ya Mungu jipe
Moyo Utashinda, Bwana ametoa na leo ametwaa jin lake lihimidiwe, amina,
Ni katibu wa CCM mkoa wa Morogoro akimwambia Mzee Mashishanga huku akiwa
amemkumbatia.
Mzee Mashishanga akiwa amejiinamia katika msiba huo, Mbele yake nyuma yetu, amina.
No comments:
Post a Comment