Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 2, 2014

ZITTO KABWE AWEKA PINGAMIZI MAHAKAMANI KUZUIA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHADEMA KESHO KUMJADILI.



 

Taarifa ambazo zilizotufikia hivi punde ni kuwa Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho.Wanasheria wa Chama wakiongozwa na Tundu Lissu wanaenda Mahakamani kusikiliza pingamizi hilo ambalo litakuwa limeenda kwa hati ya dharura.
Ttawaletea kinachoendelea.

Update,
1. Wakili wa Zitto ni Alberto Msando.
2. Mawakili wa pande zote wapo Mahakamani.
3. Msando ndiyo ameruhusiwa kuanza kuwasilisha.
4. Jaji Utamwua ndiye anayesikiliza pingamizi hilo



TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment