Hili ni jambo la kushangaza kabisa katika kukua kwa technologia Duniani kwa baadhi ya watu. Katika hili Majeshi ya Dunia yana zidi kujiimarisha katika Maswala ya ulinzi kwa kutengenezaa Sila zenye uwezo wa kufika masafa marefu, katika kuthibitiha hili Falme za kiarabu zimejiimarisha zaidi kwa kutengeneza silaha Zenye uwezo mkubwa ili kujilinda na mahasimu wao. . na hii ni silaha aina ya HEAVY ROCKET LAUNCHER, Gari hili limebeba mabom zaidi ya 240 na yote yanapigwa kwa dakika 2
Kampeni ya Chanjo ya Polio Yalenga Kuwafikia Watoto 207,096 Jijini Dodoma
-
Na. Mwandishi wetu, DODOMA
Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,
imewataka wananchi wa Jiji la Dodoma kujitokeza na kuw...
22 hours ago


No comments:
Post a Comment