Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd
Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Feb 18, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 18, 2014 kwa
mazungumzo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment