Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa
hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Mwenyekiti
wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama akitoa hotuba
yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Evarist Ndikilo ambaye ndie Mwenyekiti wa Kamati
ya Maandalizi ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,akizungumza na
washiriki wa Kongamano hilo (hawapo pichani) wakati ufunguzi wake
uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Waziri
wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda akizungumza machache kabla
ya kumkaribisha Mgeni Rasmi kuja kuzungumza na Washiriki wa Kongamano
hilo,jijini Mwanza leo.
Balozi
wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania,Mh. Thamduycse Chilliza (katikati)
akifatilia Kongamano hilo sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha
Uwekezaji Nchini (TIC),Julieth Kairuki (kushoto).Kulia ni Msaidizi wa
Balozi wa Afrika Kusini,Terry Govender.
Waheshimiwa Mawaziri wakishiriki pamoja na Wajumbe wa Kongamano hilo,kuimba wimbo wa Taifa.
Baadhi ya waheshimiwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Wadau wa Bodi ya Utalii.
Washiriki mbali mbali wa Kongamano hilo.
Watumishi wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Wadau wakifatilia kwa umakini Kongamano hilo.
Picha ya pamoja na Waheshimiwa Mawaziri na Wakuu wa Mikoa.
Kanda ya Ziwa
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment