Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa wa Kampuni ya China ya AVIC Group China Civil Aviation
inayopkusudia kuwekeza katika kampuni ya Ndege ya ATCL, Ofisini kwake
jijini Dar es salaam, Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Baadhi
ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na Mkoani
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao
kuhusu mgogoro wa matumizi ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar
es salaam Februari 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Jumuiya za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment