Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Iringa
Frenck Leonard akiongea na waandishi baada ya kuachiwa na Polisi alipo kamatwa ndani ya mahakama wakimtuhumu kuvunjasheria wakati akisikiliza kesi ya Mshitakiwa wa mauaji ya Daud Mwangosi aliekuwa mwandishi wa Chanel ten na Mwenyekiti wa (IPC).

Waandishi wa
habari Wakiwa viwanja vya mahakama ya wilaya iringa wakisubili kupata
maelezo kwa msajili wa mahakama juu ya kitendo cha Polisi kumkamata
Mwennyekiti wa IPC wakimshuku kuvunja sheria ndani ya mahakama kosa
ambalo halikujulikana nakupeleke kumuachia huru.
Askari kanzu
wakimpa ulinzi mtakatifu mshitakiwa wa kosa la mauaji ya aliekuwa
muandishi wa chanel ten Daudi Mwangosi wakati ana toka mahakamani leo
kwa kumpandisha katika gari maalumu ili asipigwe picha na waandishi
baada ya kesi yake kuandikishwa rasimi katika mahakama kuu na
itajadililiwa katika kikao kitakacho pangwa tayali kwa kusikilizwa.
Chanzo, Mnyalublogspot.com
No comments:
Post a Comment