Jana mchana Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa
Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa
Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba mzigo
ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu
na kusababisha safari yao kuchelewa kwa muda wa Nusu saa...Hata hivyo msafara huo uliendelea na safari yao vizuri.Kila la heri Young african.
No comments:
Post a Comment