Akizungumza na Jeshi la Polisi Dr Nchimbi amewataka kufanya
vizuri katika kuhudumia na kutumikia Bunge la Katiba ili kukabiliana
na changamoto ambazo zinaweza kujitokeza.
Aidha Dr.NChimbi amelitaka Jeshi la Polisi kutoa ushirikiano kwa Wageni kutokana na ongezeko la
idadi kubwa ya watu ambao hujitokeza wakati wa bunge la katiba.
Kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma David Misime amesema jeshi hilo lina mikakati
ya kutekeleza yote waliyopanga katika mipango yao kwa mwaka huu.na Dodoma FmTUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment