Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za chadema makao makuu kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
Mmoja wa Madereva Bajaj Akiongea na vyombo vya habari mda huu makao makuu ya chadema kinondoni.
Polisi wakiwa wamefika eneo la tukio mda huu ili kuweza kuweka hali ya usalama na kuzuia vurugu
Waendesha bodaboda na bajaj jijini dar mda huu wameandamana mpaka Ofisi za chadema makao makuu kinondoni,Nia ya maandamano yao hayo ni kupinga tamko linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya kati kati ya jiji la dar.Mmoja wa madereva hao akiongea na mtandao wetu anasema kwamba wameamua kuandamana mpaka ofisi za chadema kwa kuwa wanaamini ndio watapata msaada.Taarifa kamili na picha zaidi zitakujia inakujia hivi punde.HABARI NA DJ SEK BLOG
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA UTEKELEZAJI MRADI WA UMWAGILIAJI NYIDA,
SHINYANGA
-
-Ni mradi wa Umwagiliaji unaotekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
(NIRC)
NIRC Shinyanga
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara Kilimo n...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment