Huu ni
muonekano wa sehemu iliyotokea mlipuko wa gas na kusababisha vifo vya
watu 7 na wengine 74 kuachwa majeruhi, Na watu wawili kati ya hao 74
hali zao ni mbaya sana.
Msamalia mwema akimsalimisha mtoto katika mlipuko huo uliosababishwa na gas.
Barabara hipo wazi kabisa na watu wanapita kwa uangalifu mkubwa kwa kufuata maelezo kutoka kwa polisi
Upande
uliotokea mlipuko huo polisi wameweka vizuizi na watu hawaruhusiwi
kupita kama siyo wakazi wa majengo yaliyo karibu na sehemu ya mlipuko.
Vyombo vya habari vimeweka kambi yake kabisa hapa hili kuweza ku repoti kila kitu kinachoendelea katika eneo hili la tukio.
Unaweza kuona bado kunamoshi unavuka wakati shughuri za kuondoa kifusi zikiendelea
No comments:
Post a Comment