Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 19, 2014

LIVE MATCH CENTRE:::YANGA 1 VS AZAM 0

 KIKOSI CHA YANGA - NGASSA AANZIA BENCHI

1. Juma Kaseja - 29
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani - 5
6. Frank Domayo - 18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga - 26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Hamisi Kizza - 20
11. Emmanuel Okwi - 25
Subs:
1. Barthez, 2.Luhende, 3. Chuji, 4.Nizar, 5. Javu, 6. Tegete, 7. Ngasa

KIKOSI CHA AZAM FC

Aishi, Nyoni, Michael, Morad, Balou, Himid, Sure Boy, Bocco, Kipre Tchetche na Mcha

DK 5'...Azam 0 Yanga 0 
DK 10 Bocco aliumia akalala chini, amerejea uwanjani. 
14' kavumbagu anaipatia yanga goli la kuongoza.....azam 0 yanga 1 

20' azam wanapata bao ila refa analikataa...kipre alifanya madhambi kabla ya kufunga.
21' kipre anapiga shuti linagonga mwamba..Azam wanashambulia kwa kasi sasa

24' erasto nyoni anapata kadi ya njano, kamkwatua 
okwi.

erasto nyoni anapewa kadi nyekundu
wanakosa....manula anadaka penalty ya kiiza

Dakika ya 71 Hamisi Kizza anakosa penati, anaingia Mrisho Ngasa kuchukua nafasi ya Didier Kavumbagu
  

Dakika ya 30, Young Africans 1 - 0 Azam FC 
DK 37 David Mwantika anamchezea rafu Owki kwenye box ila refa anapeta, kwa maoni yangu yanga wamenyimwa penalty ya waziwazi
Dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza: Yanga 1, Azam 0 
Mapumziko: Yanga 1-0 Azam 
mpira unachelewa kuanza, nyavu za goli la kaskazini zinamatatizo. wachezaji wanapasha misuli wakisubiri 

Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza,
Young Africans 1 - 0 Azam FC 

57' azam 0 yanga 1
Dakika ya 60, Young Africans 1 - 0 Azam FC
 Dakika ya 84, Kelvin Friday anaipatia Azam FC bao la kwanza
88' anaingia Hussein JAVU, kiiza out
Mpira umemalizika, Young Africans 1 - 1 Azam FC
Didier Kavumbagu dkk 14
Kelvin Friday 84 

No comments:

Post a Comment