Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, March 15, 2014

LIVE SCORE: YANGA SC 0 - 0 MTIBWA SUGAR - AZAM FC 4 - 0 COASTAL UNION




FT: Azam 4 Coastal Union 0.

90(+5)’ Azam 4 Coastal 0.
 Mpira umemalizika, Mtibwa Sugar 0 - 0 Young Africans

92(+5)’ Kipa wa Mtibwa kakaa chini anafunga kamba za viatu
Zimeongezwa dakika 5
90’ Mtibwa 0 Yanga 0
81’ Didier Kavumbagu wa Yanga anapoteza nafasi ya wazi.
80’ Mtibwa 0 Yanga 0

75’ Okwi kaponea chupuchupu kupewa kadi nyekundu baada ya kubutua mpira kupinga maamuzi ya refa huku akiwa tayari ana kadi ya njano.

73’ Mtibwa 0 Yanga 0

64’ John Bocco anaipatia Azam bao la tatu
Dakika ya 69 anaingia Hussein Javu kuchukua nafasi ya Hamisi Kizza
67’ Emanuel Okwi wa Yanga anaoneshwa kadi ya njano

 Dakika ya 60, Mtibwa Sugar 0 - 0 Young Africans
Dakika ya 56 anaingia Hassan Dilunga kuchukua nafasi ya Nizar Khalfan
 Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Mtibwa Sugar 0 - 0 Young Africans
HT: Mtibwa Sugar 0 - 0 Yanga, Azam 2 - 0 Coastal Union 

45 Yanga 0 - 0 Mtibwa
Kipre Tchetche azifumania tena nyavu za Coastal Union Dakika ya 38

Dakika ya 34 Azam 1 - 0 Coastal - Yanga na Mtibwa milango bado migumu.


30 Azam 1 - 0 Coastal

31’ Mtibwa 0 Yanga 0

Yanga 0 - 0 Mtibwa Sugar mpira ni dakika ya 25

Kipre Tchetche anaifungia Azam FC bao la kwanza dakika ya 23 kwa msaada wa shaffih dauda
Azam FC KIKOSI
Mwadini Ally, Erasto Nyoni, Gardiel Michael, Said Moradi, Aggrey Morris, kipre Bolou, Himid Mao, Sureboy, John Bocco, Kipre Tchetche & Hamis Mcha

No comments:

Post a Comment