skip to main |
skip to sidebar
MWIGIZAJI MAARUFU SALMA JABU "NISHA" ANATARAJIA KUTOA VITABU VYA KUJIFUNZIA KWA WANAFUNZI WA MADRASA MBALI MBALI
Salma jabu nisha anatarajia
kutoa vitabu kwa wanafunzi wa madrasa mbalimbali kwa kuwa ni muumini
mzuri wa kiislam na ana fikiria kujenga madrasa akipata nafasi.Akiongea na mtandao wetu huu wa Dj sek Nisha amesema nia kubwa ya kufanya hivyo ni kuwafanya watoto wadogo wakue katika misingi ya imani na ya kidini ili wamjue na kumuogopa muumba wao.Nisha aliongeza pia kuwa watoto wengi dunia ya sasa wanaharibikiwa kwa kukosa misingi mizuri ya malezi na dini.
No comments:
Post a Comment