Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo. |
Mgombea wa CHADEMA, Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema walipokuwa wakizunguka katika ameneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upiogaji kura vituoni ilivyokuwa ikiendelea |
helkopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa imembeba mgombea wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda na kampeni meneja wake, Godbless Lema, walipokuwa wakizunguka jimboni humo kukagua vituo vya kura na kuangalia shughuli nzima ya upigaji kura ilivyokuwa ikiendelea kwa siku ya jana. Usafiri huo pia ulitumika kusamabaza chakula cha mawakala wachama hicho vituoni |
No comments:
Post a Comment