Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake,
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ujerumani muda mfupi kabla ya kufanya
mazungumzo ya faragha (tete-a-tete ) huko Ikulu tarehe 25.03.2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mheshimiwa Bernard Membe wakipiga picha ya pamoja na Waziri
wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Mheshimiwa Dkt. Frank-Walter Steinmeier na
ujumbe aliofuatana nao wakati wakipomtembelea Rais Dkt. Kikwete huko
Ikulu tarehe 25.3.2014.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakifanya mazungumzo na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Ujerumani, Mheshimiwa Dkt. Frank-Walter Steinmeier
na baadhi ya viongozi aliofuatana nao wakati walipomtembelea Rais Dkt.
Kikwete huko Ikulu tarehe 25.3.2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonyesha wageni wake jengo la ikulu
sehemu iliyojengwa na Wajerumani (jengo halionekani pichani) mara baada ya kufanya mazungumzo na ugeni huo.
sehemu iliyojengwa na Wajerumani (jengo halionekani pichani) mara baada ya kufanya mazungumzo na ugeni huo.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifuatana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya
Nje wa Ujerumani Dkt. Frank- Walter Steinmeier wakitoka nje kwenda kuona
sehemu ya jengo la ikulu lililojengwa na Wajerumani wakati wakiitawala
Tanganyika. Wengine waliofuatana nao ni Balozi wa Tanzania huko
Ujerumani Mheshimiwa Phillip Marmon na Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya
na Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu Dorah Msechu.
Rais Dkt.
Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya
Nje wa Ujerumani Mheshimiwa Dkt. Frank-Walter Steinmeier. Waziri huyo
aliwasili nchini tarehe 25.3.2014 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.PICHA
NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment