Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, March 15, 2014

TFDA KANDA YA KASKAZINI WATEKETEZA MIKATE ZAIDI YA 500


Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya kaskazini imetekeza shehena ya mikate katika kiwanda cha mikate cha Manyara loaf jijini Arusha baada ya kugundua mikate hiyo inatengezwa chini ya kiwango na katika mazingira machafu hali inayohatarisha afya ya mlaji huku ikimtafuta mmiliki wa

No comments:

Post a Comment