Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na
wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na kuwataka kuzingatia maadili na
lugha fasaha katika kikao hichi ili kufikia lengo linalotazamiwa kwa
maslahi ya Taifa.Wakati wa semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika
vikao vya Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi(Kushoto) leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Vuai ally Vuai akiongea leo katikasemina
ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba
na kuwataka wajumbe kufuata yale aliyoyasema Waziri Mkuu ya kuzingatia
Staha ya Lugha katika Vikao vya Bunge Maalum la katiba leo Mjini Dodoma.Baadhi ya wa Bunge Maalum la Katiba waliohudhuria katika semina ya kuunda kanuni zitakazotumika katika vikao vya Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO
Wanafunzi Tusiime waanza ziara nchini Uturuki
-
Na Mwandishi Wetu
WANAFUNZI 21 wa shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam
wamewasili kwenye mji wa Istambul Uturuki kwaajili ya ziara ya k...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment