Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.
TCAA Yatumia Wiki ya Utumishi wa Umma Kuelimisha Wananchi
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeungana na Taasisi mbalimbali
za umma kushiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
yanayofany...
1 day ago

No comments:
Post a Comment