Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 13, 2014

HALI YAZIDI KUWA TETE DSM HEBU TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA DARAJA LA MATUMBI BARABARA YA MANDELA LILIVYOVUNJIKA

Dar Es Salaam.  Hivyo ndivyo hali ilivyo kwasasa katika eneo hilo la daraja la matumbi lililopo barabara ya Mandela Ubungo    kuelekea Buguruni ambalo limetenganishwa hivyo kwa daraja kukatika kwasababu ya maji yanayopita eneo hilo kuzidi nguvu nguzo za daraja.

Watanzania tusiishie kulaumu serikali kama wengi wetu tunavyofanya kwasasa kinachohitajika ni maombi kwa Mungu
Kutoka Wajanja wa Town

No comments:

Post a Comment