Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 7, 2014

LIVERPOOL WAANZA KUSHIKANA `UCHAWI`, JOHNSON AWABWATUKIA MASHABIKI WANAOMPONDA

Fuming! Glen Johnson hit back at his critics following Liverpool's unbelievable 3-3 draw on Monday night
Glen Johnson amewajia juu mashabiki wanaomponda kwamba alicheza hovyo katika safu ya ulinzi na kuwaruhusu Crystal Palace kusawazisha mabao yote matatu na kulazimisha sare ya 3-3 katika mchezo wa ligi kuu soka nchini England.

Matokeo hayo yameifanya Liverpool ipoteze matumaini ya kutwaa ubingwa na sasa inaomba muujiza utokee kwa wapinzani wao Man City kupoteza mechi zao.

Liverpool waliongoza kwa mabao 3-0 mpaka dakika ya 79 kwenye uwanja wa Selhurst Park, lakini Palace ndani ya dakika 10 walisawazisha mabao yote.

Bao la kusawaisha la Damian Delaney na mawili ya Dwight Gayle  yalimfanya Luis Suarez amwage machozi jana, lakini hali ya Johnson ilikuwa mbaya zaidi baada ya kulia mno.
Fuming! Glen Johnson hit back at his critics following Liverpool's unbelievable 3-3 draw on Monday night

Glen Johnson's aggressive tweets

Down and out: Liverpool looked a beaten team, with almost everybody's heads looking at the floor

Can't believe it: Luis Suarez left the field in floods of tears at the end of the game against Palace

No comments:

Post a Comment