Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explora
Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya Explora
Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barbara Kambogi wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun
Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo kuhusu huduma mpya iliyoanzishwa na DSTV ya king'amuzi kipya aina ya Explora
Wa pili kutoka kushoto ni Meneje wa uendeshaji DSTV Bwana Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barbara Kambogi wakifuatilia maelekezo kutoka kwenye screen kubwa(haipo pichani)kuhusu mapinduzi yaliyofanya toka miaka ya 1950 mpaka leo kwenye teknolojia ya urushaji wa matangazo.
Meneja uendeshaji mwenye shati ya kaki Ronald Shelukindo akifurahia jambo na Meneja uhusiano DSTV Barbara Kambogi kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explora
Meneja mahusiano wa DSTV Barbara Kambogi akifafanua jambo kwa wateja wa DSTV jana
Wateja wa DSTV wakifuatilia kwa umakini mkubwa uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explora
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akifafanua utofauti wa king'amuzi hicho kipya na kile cha zamani jana Kwenye Hotel ya Southern Sun
Wanahabari wakichukua matukio kwa umakini kabisa
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explora kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya
aina ya explora kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza
kuyaangalia baadae
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya
aina ya explora kinavyoweza kufanya kazi kwa kuchagua channeli tofauti na kuzirekodi na baade unaweza kuangalia ulichokuwa umepitwa haujakiona.
Edo Kumwembe akiuliza Swali ili aweze kujua namna jinsi king'amuzi hicho kinaweza kufanya kazi
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akisoma jina la mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure wa kuangalia vipindi vya DSTV
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akimkabidhi vocha mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure Bi Vicky Kimaro
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akichanganya majina ya washiriki wa droo ya kujishindia seti ya DSTV
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na meneja Mahusiano Barbara Kambogi wakimkabidhi mshindi wa droo ya set ya DSTV ungo,decoda na vifaa vyote vya kuunganishwa Bwana Bernad Aonga
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barbara Kambogi wakimkabidhi zawadi ya king'amuzi kipya aina ya Explorer bwana Bernad Mukasa
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment