Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 2, 2014

NISHA AELEZEA KILICHOMO KWENYE FILAMU YAKE MPYA INAYOKUJA ZENA NA BETINA


Msanii mkubwa wa filamu Tanzania hatimaye aeleza kwa kifupi story ya zena na betina ni story ya kijamii inayohusu maisha ya dada zetu wanavyo fanyiwa Tanzania na nje ya Tanzania kwa tamaa na kupata mateso makubwa inasikitisha sana kwa kuwa dada zetu wanakuwa wanahaingaika sana ili wapate maisha lakini mwisho wake inakuwa ni manyanyaso na mateso.

No comments:

Post a Comment