Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 2, 2014

TAZAMA PICHA 10 JINSI MKUDE SIMBA ALIVYOFUNIKA KWENYE UZINDUZI WA E FM RADIO JANA

 Muonekano wa jukwaa dogo ulivyokuwa.
 MAELFU ya mashabiki jana walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa radio ya  EFm katika viwanja vya Mwembe-Yanga, Temeke. Picha za ni baadhi ya taswira za matukio yaliyochukua nafasi kwenye uzinduzi huo
 Dogo Kinagana akikoleza hafla hiyo kwa kunywa maji chupa nzima na kuanza kuyatoa kwa kuzungusha sikio.

 Inspector Haroun akitoa burudani kwa wana Temeke.
 Baadhi ya wadau wa EFm wakiwa jukwaani.
 Jassy Queens toka Kiwalani wakitumbuiza mashabiki.
 Mashabiki wengine waliamua kupanda juu ya miti kupata taswira nzuri.
 Mkude Simba akiwaongoza wapenda burudani kwa kunyoosha mikono juu kama ishara ya kumkumbuka marehemu Sharo.

 Ommy Dimpoz akiwa katika pozi.
 Shilole na wachezaji wake wakikamua.
 Q-Chilla akionyesha manjonjo yake wakati wa kuimba.
 Mkude Simba 'Kitale'' akikonga nyoyo za mashabiki.
PNC akiimba kibao chake cha habari ya mjini.
 Umati wa watu uliojazana jana Mwembe-Yanga.

No comments:

Post a Comment