Jeneza likishushwa kaburini.
Watoto wa marehemu wakiweka shada kaburini.
Picha ya marehemu.
Nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya ndugu na jamaa wakilia na kuomboleza.
Familia ya marehemu Deborah Said wakiwa na majonzi.
Said.
Jeneza likiwa kanisani kwa ajili ya ibada.
Binti pekee wa marehemu akiwa kapumzika baada ya kuzimia.
Umati wa watu ulifurika makaburini.
MWIMBAJI wa Injili, Deborah John Said, aliyefariki Juni 19 mwaka huu kwa tatizo la kansa, alizikwa jana, Juni 23, kwenye makaburi ya Makuburi-Jeshini jijini Dar es Salaam ambapo waombolezaji wengi walihudhuria mazishi hayo.Marehemu ameacha mume na watoto wanne.
(Na Gabriel Ng’osha/GPL)

No comments:
Post a Comment