Ray C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya
kulevya Kinondoni!!!tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya
Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao
wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......
DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOANI DODOMA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM)
ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ...
1 day ago





No comments:
Post a Comment