Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, June 2, 2014

Rais Dkt.Shein akutana na Makamu Mkuu wa Rais ZTE, Leo


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,(kushoto) baada ya kumaliza mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment