Jamani so sweat, kingzion mashaalah kamekuwa hako, haya kwa
wale ambao walikuwa hawamfahamu vizri mtoto wa dinamarios leo hii mtandao wa
makubwa haya tumeamua kuwaletea hapo juu ili mumuone, kiukweli mama utamwambia
nin kuhusu mtoto? Haya guys umebaki wew na mimi fanya na wewe umshkishe mimba
au ushkishwe mimba na wew uskie utamu wa kuitwa mama , haya hongera sana staa
dinamarios i hope soon utamtaftia mdogo wake si ndio eeh.
DKT.NCHIMBI ASHIRIKI KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOANI DODOMA
-
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM)
ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dodoma, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ...
22 hours ago



No comments:
Post a Comment