Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 3, 2014

RATIBA NZIMA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON HII HAPA



1.Mwili wa marehemu george tyson utaletwa nyumbani kwake(mbezi makonde) kesho jumanne jioni kuanzia saa kumi na mbili jioni kwa ajili ya kuaga 
 2.Mwili utalala utalala nyumban kwake mbezi na kesho yake jumatano kupelekwa leaders club kwa ajili ya kuagwa kuanzia saa nne asubuhi 
 3.Baada ya kuagwa mwili wa marehemu utapelekwa moja kwa moja uwanja wa ndege wa julius nyerere kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Nairobi Kenya.

No comments:

Post a Comment