Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba
Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani na Zamaradi
Mketema.…
Wasanii wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, Shija Deogratius, Cathy na Sandra Wakishangaa kumuona Rais akiwa nao kwenye msiba
Wasanii wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, Shija Deogratius, Cathy na Sandra Wakishangaa kumuona Rais akiwa nao kwenye msiba
Mohammed Fungafunga 'Jengua' akiwa msibani.
Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba akibadilishana mawazo na Habib Mrisho 'Sumaku'
Rais Kikwete akiondoka baada ya kuwapa pole wafiwa.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Rais Jakaya Kikwete amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small,
Tabata, Mawenzi jijini Dar na kutoa pole kwa wafiwa.
Baada ya kutoa pole Rais aliaga na
kuondoka huku akiacha umati wa waombolezaji waliokuwa msibani hapo wakisubiri
kumpumzisha Mzee Small katika nyumba yake ya milele.
(PICHA: SHANI RAMADHAN, MAYASA MARIWATA, GLADNESS MALLYA, HAMIDA
HASSAN, DEOGRATIUS MONGELA NA IMELDA TARIMO KUPITIA )
No comments:
Post a Comment