Aisha bui amkubali Gabo kuliko msanii
yoyote wa kiume anasema huyu ni msanii wa kipekee sana kwani anavaa uhusika
wowote kwa wakati wowote
hivyo basi yeye haoni tabu kusema ndio namba moja wake
na baada ya kushiriki kwenye filamu yake ya mshale wa kifo ndio ameonyesha
uwezo mkubwa
No comments:
Post a Comment