Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli-CCM Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa mhandisi msaidizi Paul Kisesa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
1 day ago

No comments:
Post a Comment