Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 12, 2014

PICHA 6 WEMA ALIPOFUTURISHA KWAKE,MASTAA KIBAO WAHUDHURIA

Wema akiwa na mkwe wake pamoja na shosti yake Aunt Ezekiel.
Diamond akiwa katika dua. 



Baadhi ya futari.
Baadhi ya wahudhuriaji akiwemo meneja wake Diamond, Babu Tale, wakimalizia futari.
Wema akiwa na mawifi zake

Wema akideka kwa mkwe wake mama Diamond.
MSANII wa filamu bongo Wema Sepetu amefuturisha  nyumbani kwake Kijitonyama jana
 

No comments:

Post a Comment