Telegrams TEMESA DSM
S.L.P 70704
Simu: +255-22-2862796/97
DAR ES SALAAM
Fax:
+255-22-2865835
TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
anawatangazia wananchi wote kuwa kivuko cha MV. Kigamboni kinatarajiwa kwenda
kwenye matengenezo makubwa wakati wowote kuanzia leo.
Hivyo huduma za uvushaji zitaendelea kwa
kutumia vivuko vya
MV. Magogoni pamoja na MV. Lami katika kipindi chote cha matengenezo husika.
Uongozi wa TEMESA unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao
jitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu
TEMESA
23/7/2014
No comments:
Post a Comment