Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 24, 2014

TAZAMA PICHA ZA MAJANGILI WATATU WAKAMATWA KWENYE HIFADHI YA SERENGETI


Majangili waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi!
Wimbi la kuongezeka kwa majangili limeendelea licha ya kuwepo kwa ulinzi katika mbuga  zetu za wanyama. Hii ni kutokana tukio lingine lililotekea kwenye hifadhi ya Serengeti ya kuwakamata majangili, ikiwa ni siku mbili tangu kuondoka kwa mmiliki wa Singita Grumeti ambaye alikuwepo kwa wiki mbili kama ilivyo utaratibu wake wa kila mwaka.Askari wake  wameendelea kukamata majangili ambapo usiku wa kuamkia leo wamewakamata majangili watatu wakiwa na swala.


Swala aliyeuawa na majangili hao
 


swala aliyekuwa kauawa akiwa kapakiwa kwenye gari kwa ushahidi.CHANZO GPL



No comments:

Post a Comment