Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 13, 2014

TAZAMA PICHA 30 UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KIPI SIJASIKIA WA PROF JAY NA DIAMOND

 Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level
 Diamond kama wakili wa Profesa J

No comments:

Post a Comment