Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 13, 2014

TAZAMA PICHA ZA RED CARPET YA UZINDUZI WA MOVIE YA THINK LIKE A MAN,DIAMOD AFUIKA MBAYAAA!!!!!!!!!

Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E  Terrence J yupo nchini Tanzania ,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN TWO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza humo,me na team yangu tulipata mwaliko,na hizi ni baadhi ya picha  tukiingia na  mahojiano ya kwenye red carpet

TERRENCE AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA MOVIE KUANZA
Baada ya kutoka ,Nikisalimiana na baadhi ya mashabiki


Picha zote via: Wasafii

No comments:

Post a Comment