Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 25, 2014

TAZAMA PICHA 4 ZA MASHABIKI WA ISRAEL NA PALESTINA WAKIZICHAPA UWANJANI,MECHI YAAIRISHWA


Mashambulizi: Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa  Maccabi Haifa


 Waandamanaji walivamia uwanja na kuanzisha dhoruba ya kuwashambulia wachezaji wa  Maccabi Haifa



Waandamanaji waliwavamiwa wachezaji wa Maccabi Haifa na kusababisha mechi kuahirishwa.



Kula buti kwanza kijana!: Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina waliwavamiwa wachezaji wa  Maccabi Haifa
MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.
Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa Maccabi na kuzua vurugu.
Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito.
Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa.
Tukio hili limekuja wakati huu ambao majeshi ya Israel yamevamia na kufanya uhalifu dhidi ya majeshi ya Hamas huko Gaza.

No comments:

Post a Comment