Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 14, 2014

TAZAMA PICHA NA VIDEO;;RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAKATIZA MTAANI NA KUNUNUA NG'ONDA, TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa maabara shuke ya sekondari Kipumbwi. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment