Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 14, 2014

WANANCHI MUSOMA WAUA MAJAMBAZI 3,WAWACHOMA MOTO


WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa kwa kushambuliwa na siraha za jadi ikiwemo rungu,mapanga na mawe baada ya kudaiwa kufanya uhalifu wa kuwateka wavuvi ndani ya ziwa Victoria na kuwanyang’anya vifaa vyao vya uvuvi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake,kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mara Philip Karangi alisema 

 
tukio hilo lilitokea julai 9 majira ya saa 5 usiku katika kisiwa cha Iriga kilichopo Kijiji cha Busamba Kata ya Etaro Wilaya ya Butiama.

No comments:

Post a Comment