Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, September 13, 2014

PICHA;; MOTO JINSI ULIVYOWAKA KWENYE MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI

Kazi ya uokoaji ikiwa  na kuzima moto


Usalama ukiwa umeimarishwa
Kasi ya kuzima moto
Kila mmoja kwa jitihada zake anafanya kazi ya kuokoa

 
Gari la zima moto likiwa linafanya kazi ya kuzima moto huo
Kila mmoja anafanya kazi ya kuokoa





Ulinzi umeimarishwa






Pia kwa  Gari la kubebea wagonjwa lipo



Kwa Taarifa za awali kutoka kwa Mashuhuda wanadai kwamba chanzo cha moto huo ilikuwa ni Hitirafu ya umeme...


No comments:

Post a Comment