Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, September 13, 2014

RAIS WA WASANII WA BONGO MUVI '"STEVE NYERERE" ATANGAZA RASMI KUJIUZULU WADHIFA WAKE

Rais wa Wasanii wa Bongo Muvi Steve Nyerere ametangaza kujizulu rasmi nafasi yake hiyo kuanzia Jana na  Leo asubuhi atazungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa Maelezo hapa mjini kuelezea kwa kirefu kuhusu uamuzi wake huo. Akuzungumza na Blogu hii  Steve alikuwa akiongea kwa upole sana na kusisitiza kwamba hatatoa maelezo  mpaka 

 
kesho, juhudi zote za hii blog kumbana aseme sababu ya uamuzi wake huo wa ghafla Steve alisema ni kesho(Leo) tu ndio atatoa maelezo kwa anayetaka kujua na kusikia sababu aje kesho Asubuhi Maelezo.

No comments:

Post a Comment