Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, September 21, 2014

TAZAMA PICHA YA MGAHAWA WA MWANAMUZIKI RAY C

Kupitia Instagram ya Ray C ameandika:
Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana waliojikomboa kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.



Matunda ya Ray C Foundation,Namshukuru Mungu kwa kuendeleakutubariki,kupitia foundation yetu tumeanza kufungua miradi mbalimbali ili kuwawezesha vijana walioamua kubadilika na kuachana na dawa za kulevya kupata ajira ili waweze kuendesha maisha!kwakuanza Ray C FOUNDATION imefungua mgahawa nje ya hospitali ya Mwananyamala ili kuwawezesha wagonjwa na wauguzi waweze kupata chakula cha kila aina

No comments:

Post a Comment