Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 22, 2014

VIONGOZI WA KIMASAI WAPATIWA ELIMU YA LISHE


Mtaalamu wa masuala ya lishe na Afya ya jamii kutoka taasisi ya Footprint,Allan Rwechungura akiongea na viongozi wa Wilaya ya Monduli juu ya matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi.Kampeni ya kuhamasisha matumizi a vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijii inaendelea katika wilaya mbalimbali nchini.
Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa semina ya uhamasishaji wa matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijini iliyofanyika wilayani Monduli,mkoni Arusha 


Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa semina ya uhamasishaji wa matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijini iliyofanyika wilayani Monduli,mkoni Arusha.
Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” Katika picha ya pamoja na wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Taasisi ya FootPrint baada ya semina ya uhamasishaji wa matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi vijijini iliyofanyika wilayani Monduli,mkoni Arusha.
Viongozi wa kabila la Wamasai maarufu kama ‘Malaigwanani” wakipata nyama choma baada ya semina ya matumizi ya vyakula vilivyoongezwa virutubishi iliyotolewa na wataalamu wa masuala ya lishe kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Taasisi ya FootPrint wilayani Monduli,mkoni Arusha.

No comments:

Post a Comment