Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 4, 2014

DILI MOTO:::UKIWAJUA HAWA WATOTO WANAPATIKANA WAPI TUAMBIE

hii picha imekuwa ikisambaa sana kwenye mitandao ninaomba kama kuna mtu anafahamu uwezekano wa kupatikana kwa watoto hawa kwenye hii picha. Msamaria mwenye nia ya kuwasaidia ameomba jina lake lisitajwe bali anaomba yoyote anayefahamu jinsi ya kuwapata hao watoto atume email kwa
Asante sana!

No comments:

Post a Comment