Mwakilishi
wa naibu mkurugenzi mkuu wa NHIF Bwana Michael Kishiwa (mwenye koti
jeusi) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome vifaa
tiba, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya mkoa wa mara.Wananchi na wagonjwa wakifatilia kwa makini zoezi zima la makabidhiano ya vifaa tiba lililokuwa likiendelea meza kuu
Mgeni
rasmi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jackson Msome akitoa neno la
shukurani kwa madaktari mabingwa katika siku ya ufunguzi wa huduma hizo
katika hospital ya mkoa ya mara.Wauguzi
wa hospital ya mkoa wa mara wakifatilia kwa makini makabidhiano ya
vifaa tiba vilivyokabidhiwa kwa mganga mkuu wa hospital hiyo.Mwakilishi
wa Kaimu mkurugenzi mkuu akitoa neno kabla ya kukabidhi vifaa tiba kwa
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome aliyekaa kuli. Kushoto ni
Meneja wa NHIF mkoa wa Mara Dr. Mgude Bachunya.
Baadhi ya wafanya kazi wa NHIF na wadaktari wakiwa katika picha ya pamoja
Baadhi
ya madaktari bingwa na maafisa wa NHIF waliokwenda mkoani Mara kwa
ajili ya zoezi hilo, kutoka kushoto ni Dr. Rogatus (Daktari Bingwa wa
watoto) toka hospitali ya Bugando, Dr Albert( bingwa wa usingizi) toka
MOI, Dr Tiba (bingwa wa magonjwa ya moyo) toka hospital ya taifa ya
muhimbili, Sabina Komba (Afisa uhusiano)toka NHIF makao makuu, sadick
Adamu (logistics) toka NHIF makao makuu, Dr Rumanyika( bingwa wa
magonjwa ya kinamama) toka hospital ya Bugando.
No comments:
Post a Comment