Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili, T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma ,jirani kabisa na kipita shoto cha mnara wa saa ,Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka.hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la ajali.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini
HUU NDIO UTOFAUTI WA CCM NA VYAMA VINGINE - KIHONGOSI
-
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Komredi Kenani Labani Kihongosi,ametembelea Shina Namba 7 la CCM katika
Tawi la Many...
2 hours ago
.jpg)
.jpg)

No comments:
Post a Comment