Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 4, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Angel Magati ambaye aliimba wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana  na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against orruption) ulioanza Jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza. Angel, mwenye umri wa miaka 22, na  mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM, ameshatoa albamu yake ya kwanza iitwayo "Umefanya Tena" yenye nyimbo tisa kali za Kiswahili na Kiingereza.



Meza kuu ikiungana na wajumbe kusimama kimya kwa muda wa dakika moja kumkumbuka Rais wa Zambia Marehemu Michael Satta kabla ya ufunguzi wa  Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana  na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana
na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption)
ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika
Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
  Sehemu ya wadau toka nchi mbalimbali barani Afrika wameshiriki Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
 Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa Manispaa
ya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga na
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa umakini
yanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na
Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against
Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe
07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya  Mrisho Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Utawala Bora Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment